Rudi Nyumbani Megamart Buy

7-Day Return Policy

Hakuna wasiwasi. Bidhaa yoyote yenye kasoro inaweza kurudishwa ndani ya siku 7 kwa replacement au refund kamili — bila maswali.

Unastahili Kurudisha Bidhaa Ikiwa…

Hazirudishwi

Jinsi ya Kurudisha — Hatua kwa Hatua

  1. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp ndani ya siku 7 za kupokea bidhaa.
  2. Tuma picha au video inayoonyesha tatizo la bidhaa.
  3. Timu yetu itakupigia simu au kukujibu ndani ya masaa 24.
  4. Tutakupatia mwongozo wa kurudisha bidhaa au kupanga pickup.
  5. Baada ya kukagua, replacement au refund itafanywa ndani ya siku 3–5 za kazi.

Refund & Replacement

Bidhaa Zinazofunikwa

Sera hii inafunika bidhaa zote zinazouzwa kwenye Megamart Buy, ikiwa ni pamoja na smartphones, accessories, gadgets, fashion, home & living, na bidhaa zote za duka letu.

Una tatizo na bidhaa yako? Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp — tupo saa 24/7.

Piga WhatsApp Sasa